Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ningeanzia wapi jamani...Hha sasa si ungeniambia?
Ningeanzia wapi jamani...Hha sasa si ungeniambia?
Amina amina my dear barikiwa mno Kipenzasante sana my dear![]()
Yes shemu
Hakuna shida akionekana tu siku yoyote aniwekee tuBinamu leo kuonekana ni ndoto
AminaaaaHakuna shida akionekana tu siku yoyote aniwekee tu
R.I.P BILL GRAHAMMhubiri maarufu kwenye luninga (Televangelist) Billy Graham amefariki dunia leo hii siku ya Jumatano 2/21/2018 akiwa na miaka 99.
![]()
The Rev. Billy Graham, Who Reached Millions, Passes Away - Positive & Encouraging K-LOVE
Binamu leo kuonekana ni ndoto
Unajisikia raha sana mimi nikinuniwa na aunt yako ...ujue ile list ya wabaya wangu bado ninayo na wewe ntakuweka uwe mdhamini ........tulikuwa wote pale kwenye uji wa ulezi, baadaye alipokuja mteja yule mwenye mwanya mkaondoka mkaenda kusikojulinana. Vipi useme leo sitoonekana wakati wewe ndo najua utaonekana usiku wa manane. Kuna patrol siku hizi mjomba, bora uwe unalala hadi muda wa kurudisha vyumba
Shukrani binamu..unalifanya jukwaa kuwa la kipekeeTafasiri Unavyoweza: Teknolojia Si Kila Kitu
Tunafanikisha mengi kwa sababu tu ipo teknolojia inayosaidia kufanikisha haya, hali ya hewa kwa mfano, utajua nini kitatokea wiki ijayo. Mawasiliano fikiria, ingekuwa vip bila simu na internet, hivi vimetuwezesha kuwasiliana na ndugu na marafiki zetu katika dunia hii iliyotawanyika. Hospital ndo usiseme, teknolojia inafanya mambo ambayo zamani isingekuwa rahisi kuwezekana. Pamoja na yote, kuna nguvu ya mtu (human touch) inayoishinda teknolojia, tafasiri unavyoweza.
Imekuwa ni kawaida sana, kwa wanafunzi kwa mfano, wengi wao wanaamini kuwa internet itawafanyia kila kitu, na kweli inawasaidia kufaulu mitihani yao. Graphs wanaingiza maswali inachorwa ndani ya dakika. Muda wa kukaa maktaba na maabara hawana tena, muda wa kupekua vitabu haupo kwa kuwa tu teknolojia imewaletea unafuu na kurahisisha maisha ya shule. Na kikubwa zaidi kwa sababu wamekuwa hawatumii muda wao kujisomea basi teknolojia inawawezesha kubet.
Ukweli usemwe, teknolojia haijamaliza kila kitu, maarifa yapo ukiutumia ubongo wako kikamilifu, wengi hatuupi kazi ubongo, ndiyo mimi na wewe kwa sababu tu teknolojia ipo. Tumia muda kujisomea na kusaka maarifa zaidi na hapo ndo utaona teknolojia unaihitaji na pia unamuhitaji mtu halisi katika kurahisisha maisha yako hapa duniani. Tafasiri unavyoweza.
![]()
Huyu ni mnigeria binamu ni pastor na vile vile muimbaji....salam aunt, huyu David G ndo yule Mkenya David G Mailu alieandika My Dear Bottle?
Toa hiyo signature basiUnajisikia raha sana mimi nikinuniwa na aunt yako ...ujue ile list ya wabaya wangu bado ninayo na wewe ntakuweka uwe mdhamini ....
Mwenye mwanya aliniomba nimsindikize kule juu eti sijui kuna rafiki yake kamuazima dela na uzuri ndo njia ya kwenda kule
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Hahahahah leo nimechange simu kumbe kuna signatureToa hiyo signature basi
Nimeiona toka majuziHahahahah leo nimechange simu kumbe kuna signature