Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Toa hiyo signature basi
Toa hiyo signature basi
sasa binamu kilichokufurahisha
...mambo ya signature, mlimfanya BH wangu akakosa raha, hakyanani nilitaka kumroga mtu, mshukuru mganga alikuwa kwenye mfungo wa Ramadhani


watu wabaya mpaka wakanifukuzia mama yangu isije ikawa anko wako nae kakimbiawatu wabaya mpaka wakanifukuzia mama yangu isije ikawa anko wako nae kakimbia
Muziki wa Mdhamini: Mdhamini Kabadili Signature
....mambo ya Biko na Tatu mzuka (sio tatu bomba zile salama zenye vipele- maana kuna wenye akili zao wanaweza wakapiga picha wanaingia duka la dawa baridi kununua dawa moto) yamemfanya aunt yangu abadili signature. Yeah, mdhamini wa leo Shunie baada ya kuliwa sana na muhindi kwenye tatu mzuka na biko (hivi ni wahindi au waswahili- maana wakiwa waswahili wana style nyingi za kumla mtu, wahindi wao ni chukuchuku otahe), kaamua kubadili signature.
Tuungane na mdhamini wetu kwenye muziki wa mdhamini. Mjomba nakusalimia tu
Jokes aside (utani kando) muziki mzuri huu, hisia zimetawala, asante aunt. Mimi na BlessedHope tunakushukuru sana

asante sana binamu yangu ubarikiwe mno yaan mno
Khaaa...yaani acha tu, nilitumia nguvu za ziada kumrudisha
![]()
Anae hitaji vitabu vya huyu mtu vipo nyumbani vingi sana , mimi ni mwislamu ila baba yangu mkubwa alikuwa mkiristo Kesha kufa kwa hiyo anaevitaka nitampatia mimi nipo moshiMhubiri maarufu kwenye luninga (Televangelist) Billy Graham amefariki dunia leo hii siku ya Jumatano 2/21/2018 akiwa na miaka 99.
![]()
The Rev. Billy Graham, Who Reached Millions, Passes Away - Positive & Encouraging K-LOVE
Anae hitaji vitabu vya huyu mtu vipo nyumbani vingi sana , mimi ni mwislamu ila baba yangu mkubwa alikuwa mkiristo Kesha kufa kwa hiyo anaevitaka nitampatia mimi nipo moshi
Salaam mkuu Obe...yaani acha tu, nilitumia nguvu za ziada kumrudisha
![]()
Mkuu habariHahahahah leo nimechange simu kumbe kuna signature
Salaam mkuu Obe
Mkuu Tumosa habariHadithi baba![]()
![]()
Asante, pamoja mkuuNiko poa sana mdau, habari za masiku. Tupo tunasongesha.
Nafurahi kukuona tena hapa. Usiku mwema
Shikamoo binamuNiko poa sana mdau, habari za masiku. Tupo tunasongesha.
Nafurahi kukuona tena hapa. Usiku mwema
Salama hbr ya uzimaMkuu Tumosa habari