Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna picha imebandikwa na SHIMBA YA BUYENZE naambiwa sina ruhusa ya kucomment! Ni tatizo la hii laptop yangu mpya au hata nyie mnaotumia simu za zamani limewakuta?!1

tenor.gif
 
Nilifanikisha bhana, yaani kiroba cha mchele na ndizi akagoma ikabidi niongeze na kilo ya nyama. Asante sana kwa ushauri mjomba. Vipi uliweza kumlipia yule dada kodi ya nyumba?
Nilimwambia ajikopee binamu alafu nione maendeleo yake kama naweza kumlipia deni au make nilishajifunza tokea ulivomlipia cheupe Naji na ukamkuta baada ya siku mbili kaingiza kidume ndaniii...nisamehe nimekukumbusha maumivu
 
Muziki: Sogo Sogozo

...kama hujaelewa maana ya sogo sogozo basi sio jukumu langu mimi kukueleza maana, hii inaweza kuwa ni sawa na jukumu lako kumtafuta mwalimu Gugo au mwalimu mkuu maktaba na ukatafute maana yake. ni vizuri kila siku kuongeza neno moja au zaidi. Ninakusalimia Kapuku mheshimika usiku huu nikiamini kabisa ulikuwa na wakati mzuri siku ya leo na sasa unaitafakari siku ya kesho.

Nikushukuru sana Nyagei mtaasisi kwa kutuonjesha kidogo ladha ya soka ambayo tuliikosa kwa muda tangu mwaka huu umeanza. Asanteni sana Transcend , Shunie , Sakayo kwa sogozi ambayo imevutia kuifuatilia. BlessedHope asante kwa asubuhi ya neno na sala, ni namna gani nzuri ya kuianza siku kwa sala na salamu za heri.

Muziki sasa, mjomba wangu Lyon Lee hajambo sana, Valentine na Valentina wa kilombero ilimuachia michubuko kutwa nzima anavaa kanzu. Ndo mjomba wangu huyu, akirudi atakuja kukana haya na mimi akiuliza kama mimi ndo nimesema nitakana, mambo ya ukoo haya

Asante kwa mzikiii ...

Kanzu kuvaa kwangu naona unanionea nongwaaa binamu
 
Nilimwambia ajikopee binamu alafu nione maendeleo yake kama naweza kumlipia deni au make nilishajifunza tokea ulivomlipia cheupe Naji na ukamkuta baada ya siku mbili kaingiza kidume ndaniii...nisamehe nimekukumbusha maumivu

...sawa tu anko, haina shida nilidhani utanitunzia siri. Ila mimi nina roho nzuri kweli, kesho yake nilienda kubeba kitanda chake nikakiongee chaga
 
...sawa tu anko, haina shida nilidhani utanitunzia siri. Ila mimi nina roho nzuri kweli, kesho yake nilienda kubeba kitanda chake nikakiongee chaga
Ila ukwelii mtamu ....sasa siri gani na taarifa nilizipata kitanda ulikipeleka bondeniii make kule mechi ilikua inapigiwa uwanja wa mchanga ...huko uliacha jina na ulifaidii sana

Eti kale katoto mbona pua kama zako japo masikio wanadai yanaelekea kwangu sijui wanamanisha nini
 
...watu wana wivu bhana, kale katoto kwa kweli tukaombee tu katakuwa smart sana kama mama yake
 
Mimi nahisi wanataka kutogombanisha mimi na wewe binamu ...mtoto ni wakoo kabisaaa na wewe ndo wa kwanza kunambia umemtundika kitu yule bi mkubwa

......oh, umeyaleta huku wakati unajijua kabisa ulichofanya, ukanipa hela ili nikamkataze yule bi mkubwa asiende kwa aunt kusema kuwa ulimwaga ndani wakati nje kulikuwa na sehemu kubwa tu ya kumwagia na yeye akapiga deki
 
Picha ilikuwa mbaya ama? Kama ilikuwa mbaya ikakukwaza sorry mkuu...

Ilikuwa inakwenda kwingine nilikozoea kujirusha kwa uhuru zaidi

Picha ilikuwa tamu sana, nilitaka niidownload nishare na huyu nilienaye hapa nimwambie asipojitahidi awe kama wa kwenye picha basi nitaenda kutembea nje
ha hahahahahaha
 
......oh, umeyaleta huku wakati unajijua kabisa ulichofanya, ukanipa hela ili nikamkataze yule bi mkubwa asiende kwa aunt kusema kuwa ulimwaga ndani wakati nje kulikuwa na sehemu kubwa tu ya kumwagia na yeye akapiga deki
Binamu unachanganya mafaili simzungumzii yule cha upepo ...huyo mtajuanaa nyiee ...

Alafu binamu mbona unazidi kuninangaa kwa aunt yako make mwenyewe kashanichoka na wewe unaongezea uchokozi chonganishii mchoshano...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom