Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
SitakiiiiNishamwambia kama anataka nimpeleke ngorongoro tuu...
Akirudi hata hatokuwa anahadithia hivyo vitu [emoji3][emoji3]
SitakiiiiNishamwambia kama anataka nimpeleke ngorongoro tuu...
Akirudi hata hatokuwa anahadithia hivyo vitu [emoji3][emoji3]
Wataniuaje sasaWatamuua kule.
Haha... atakujibu.Akinijibu nitampa salaam zako asiponijibu tena kisuper star ndio basi tena
Hivi hii PM ni PM ya jf ama ? Ama mnatafutana PM za Tigo na Voda ?Fakalava jaman nimemmiss mpaka nimemtafuta pm leo
Hunie..Hahaha
Kumbe unakumbuka eeh..
Mzee wa busara ndo alipotea mazimaaaa!!!
He he na text niliyomuandikia lazima ajibu tu kawa adimu sana jfHaha... atakujibu.
He he nimecheka woiiiiHivi hii PM ni PM ya jf ama ? Ama mnatafutana PM za Tigo na Voda ?
Msalimie mama Yeyoo O ' lalashe.Nawakimbia guys.
Lala unono bamdogoNawakimbia guys.
[emoji106] [emoji106] nanyi piaMsalimie mama Yeyoo O ' lalashe.
Lala unono bamdogo
Ngoja nikupeleke huko...Sitakiiii
Nimekuwa mzee majuto siku hizi eeh?He he nimecheka woiiii
Wacha bwanaNgoja nikupeleke huko...
Watu wanajipaka mafuta ya simba..!
Yaani ukionja utamu wa huko hurudi tena mjini [emoji3][emoji3][emoji3]
HahahaSanaaa jaman sakayo wangu
Ahahahah ndio unavyoanza naonaNimekuwa mzee majuto siku hizi eeh?
Ushajiuliza kwanini wazungu wadondokea wamasai ? [emoji41]Wacha bwana
MmmhUnajua kwanini sikusahau... baadae niliumia kwanini nilikujibu vile... hahah ila unakumbukumbu hatari I cant you.
Siwezi sahau akii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sakayo ana kumbukumbu
Na mdogo ake shunieNani huwa anaingia whatsapp kwa wiki mara moja..[emoji41]