Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndio my dear..
Niliandika gazetiii.... Nkajibiwa "Sawa"
umenifanya nikimbie Pm nikachungulie conversation....

Sometimes sijui tuseme ni u-don't care unskuta upo jukwaani pm unaenda mara chache na kumbe kuna mtu kakutext.

Ni sawa na Whatsap application mimi ninayo ila naigia kwa week mara moja sina matumizi nayo.
 
Umeona lakini??!!!
Sio kwa sawa ile jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom