Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Poa huku [emoji3][emoji3] sijui pande hizo nikuchekeshe habari za baba yeyoo si umekumbuka wa ubuyu ahhhhaHahaha
Veeepe hukooo
Poa huku [emoji3][emoji3] sijui pande hizo nikuchekeshe habari za baba yeyoo si umekumbuka wa ubuyu ahhhhaHahaha
Veeepe hukooo
HahahaPoa huku [emoji3][emoji3] sijui pande hizo nikuchekeshe habari za baba yeyoo si umekumbuka wa ubuyu ahhhha
Baba yeyoo yupo znz huwaga tunamsumbua na espy athletes ubuyu akisema nimpe nani hatuna wa kumpaHahaha
Nakumbukaaa my dear
HahahaBaba yeyoo yupo znz huwaga tunamsumbua na espy athletes ubuyu akisema nimpe nani hatuna wa kumpa
Kuna rafiki yangu yupo znz huwa analetaga biashara huku dar kuna siku nimekutana na baba yeyoo jukwaa la mchanganyiko nikampa no kwenye thread ya watu akipata ubuyu awasiliane na huyo mtu
Ile siku uliyomtania [emoji3][emoji3][emoji3] ndio siku niliotoa no basi kweli akamtafuta na ubuyu akampa ukanifikia majuzi ikabidi nimfate pm kumshkuru
Akacheka akaniambia ujue shunie me nina wivu kweli hata maisha yangu halisi niko na wivu sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] talaka ipo pale pale acha nicheke
Ubuyu nakutumia pakti mbili kesho kwenye raha leo ngoja nifanye mpango wa kumpa mtu leo nimeletewa pakti 6 hivi ukuje pm ushukie muheza auHahaha
Kwa hiyo ubuyu umekula mwenyewe
HahahaUbuyu nakutumia pakti mbili kesho kwenye raha leo ngoja nifanye mpango wa kumpa mtu leo nimeletewa pakti 6 hivi ukuje pm ushukie muheza au
Mmh umeanza kujidai mfyuuu akaniambia kuanzia leo nakuita rafiki msalimie dada ako me nacheka sina mbavu namwambia sawa rafiki [emoji3][emoji3]Hahaha
Asante mwaya!! Sikulagi hizo vituu!!
HahahaMmh umeanza kujidai mfyuuu akaniambia kuanzia leo nakuita rafiki msalimie dada ako me nacheka sina mbavu namwambia sawa rafiki [emoji3][emoji3]
Khaaa. [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Tumekulana wapi sasa auntie ndio wanatanianaga mkwe espy mbona mda tu kwahiyo hujawai muonaHahaha
Kweli meno yanaumiagaa, ingekuwa keki poa!!
Hivi mlijuana lini mpaka mkulane bila mie kujua??
Sawa bwanaKhaaa. [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Tumekulana wapi sasa auntie ndio wanatanianaga mkwe espy mbona mda tu kwahiyo hujawai muona
Ni mmasai huwaga ananiita mama yeyoo na me namwita baba yeyoo ujue kapanick kweli akaniambia shunie nina wivu utafkili nakujua na me nipo hivyo hata kwenye maisha yangu kwahiyo nishakuacha [emoji3][emoji3][emoji3] umebaki rafiki mwema kama ubuyu hujaupenda niambie nikununulie mwingine rafiki yako akija nitampa sawa rafiki basi mm akiniita rafiki mbavu sina
Mfyuuuuu zakoSawa bwana
HahahaMfyuuuuu zako
Mwendo wa kulwa na ma-moran tuu..Sawa bwana
Mfyuuuuu zako
Hahaha
Mwenyewe
Hajanikula jaman mkeo kasababisha nimeachwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sitaki kukumbuka niliachwa mbele yake wala simsingiziiMwendo wa kulwa na ma-moran tuu..
Yaani ninyi [emoji3]
HahahaMwendo wa kulwa na ma-moran tuu..
Yaani ninyi [emoji3]
Mmasai alikuacha?Hajanikula jaman mkeo kasababisha nimeachwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sitaki kukumbuka niliachwa mbele yake wala simsingizii
Mmasai yupi jaman baba yeyoo ndio tulikua tunamzungumzia na sakayo TMmasai alikuacha?
Ngoja nikutafutie mmoja akukule hebu...Mmasai yupi jaman baba yeyoo ndio tulikua tunamzungumzia na sakayo T
Namtafutia dada yako njemba moja ije kumbamiza kidogoHahaha
Mbavu zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana yaan nataka kuona kingozi jaman baba yeyoo ndio ameshaniacha nilitegemea atanikula nimchungulie kingoziNgoja nikutafutie mmoja akukule hebu...
Hakikisha hufwi kabla ya kulwa na mmasai... [emoji41]