Hizi bongo ziko salama sana mnacheza tu kamli mnasepa,
Kuna Casino ziko mbele unaweza ukaingia ova zina mapepo yani.
Ukishaanza kwenda huwezi kuacha...
Hizi bongo ziko salama sana mnacheza tu kamli mnasepa,
Kuna Casino ziko mbele unaweza ukaingia ova zina mapepo yani.
Ukishaanza kwenda huwezi kuacha...
Hahaha,
Mimi kuna Mjomba wangu walimfukuza kabisa Wahindi fulani hivi.
Alikuwa akiingia kwenye yale mamashine hashindwi kutoka na mapesa.
Wale wahindi walikuwa wakimwona anakuja walikuwa wanafunga milango wanamzuia asiingie!
Sijui alikuwa mchawi yule jamaa yaniii