Makapuku Forum

Nipo kwenye multiple bet
kwenye multiple bet chagua zile timu nilizokupa kama nimeiwekea win or draw clic kuna kialama cheusi juu ya mechi nenda kwenye double chance kuna sehemu imeandikwa 1x unabonyeza kama nimekuandikia 1 bonyeza 1 kwenye normal ukimaliza nenda kuna sehemu ya kuweka pesa alfu finishi ukimaliza kuna sehemu itakuandika pay via wallet or m-pesa utabonyeza kama ni walet au m-pesa au tigo alfu utabonyeza kwenye pay ticket utaletewa namba flan juu ya mkeka hizo ndizo za muhimu ukiwa unalipia
 
Jaman mbona kialama cheusi sikioni mm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…