Makapuku Forum

Tafakari njema
 
Asante kwa muziki Obe
 
Zaburi 131

1 .BWANA, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.

2 .Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake; Kama mtoto aliyeachishwa, Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu

3 .Ee Israeli, umtarajie BWANA, Tangu leo na hata milele.

JUMAPILI NJEMA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…