Makapuku Forum

Makapuku Forum

Weeeeee tulikuwa tunapishana na wewe unasifia avatar za wanaume ndo apoo lyon wako akajiongezaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee nimekamatika pazuri,lakini kwani ukimsifia mtu kuna ubaya acha wivu basii,I still love you
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee nimekamatika pazuri,lakini kwani ukimsifia mtu kuna ubaya acha wivu basii,I still love you
Kama ulipata mda wa kumsifia huyo na lyon ukamtelekezaaa huku akichambwa na makapuku ...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Inshort alipambana na hali yake
 
Back
Top Bottom