Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Kaja mwaka mpyaNa me namuona hivi amekuja kutuchungulia tu
Kaja mwaka mpyaNa me namuona hivi amekuja kutuchungulia tu
Na venye unapenda mambo ya kukimbizana... [emoji3][emoji3]Ukuje hebuu
Na huku mvua yanyesha nko nje hapa
Happy New Year kamandaBotoooooozzzzz
Happy new year!!!! Nakuona kwa mbaaaaaliiii
Kwenye wine hall pale bhana...Iko wapi babedarling
Aki nahisi kukufwa baba naveenNa venye unapenda mambo ya kukimbizana... [emoji3][emoji3]
Hahahahaaaaaaa!Aki nahisi kukufwaa....
Nimekunywa nini ileee... Kung Fu....
Karibu tena MkuuHappy New Year kamanda
Ndio nimerudi Jf leo
........
HakunaKwenye wine hall pale bhana...
Sikuwepo hapa tangu SeptNa me namuona hivi amekuja kutuchungulia tu
Karibu kaka Bitoz.Happy New Year kamanda
Ndio nimerudi Jf leo
........
Nipo rafiki yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amegonga like na kupita naona kaja kuchungulia jukwaa lipo au limekufa
Niko serious ujue T.... Aki siko poaHahahahaaaaaaa!
Umekuwa Bamboo ze komedi ? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ahahha anauanza mwaka mpya vizuriKaja mwaka mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani alikunywesha kuna uzi wako nimrufufua nimechekaAki nahisi kukufwaa....
Nimekunywa nini ileee... Kung Fu....
Hivi hujuagi matani eenh mweeh haya karibu mzee wa kupanickSikuwepo hapa tangu Sept
Nimekuja(nimerudi) ila sio kama zamani
Niwaimbie kwani tulikwazana ?
Maisha yenyewe haya
...........
Karibu tena Mkuu
Happy new year
Nanyi piaKaribu kaka Bitoz.
Happy New year too kaka.
Karibu mwaya heri ya mwaka mpya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Hapana sjapanikiHivi hujuagi matani eenh mweeh haya karibu mzee wa kupanick