Nawaangalia tu , ndugu yenu nimeng'olewa meno ya hekima Lyon Lee , makaveli10 , Shunie
Anayekataa kunipitia kwenda kigamboni anatamani amalize mwaka vibaya, nitamroga
.....akiyachenji mapaundi na kuniachia naenda kuyabadili nakuletea hela ya Zimbabwe. Siwezi kukupa hela kamili, nina akili timamu kuelekea kufunga mwaka
Hali yangu nimepambana nayo nimeishinda kwa mali. Nimeuza korosho zangu, nimenunua boxer tatu, moja ya wageni. Nyingine nitakuja nayo Dar kigamboni. Hivi BH anakaa mtaa gani? Kama anakaa Serengeti itakuwa poa sana kwa mimi mwindaji makaveli10