Wooooooozaaaa mambo yangu haya watoto wa mjini kila jumamosi tunakutana kiwanja chetu cha nyumbanii binamu huyo aliyechukua jina lako la pili mpendwa wako husna muba eenh
...Husna ni mpendwa wangu, unalijua hilo. Mjomba wangu hajambo?
Mmh ni mtoto au mkeo sasa me nitakuharibiaje kwa BH jaman...huchelewi kuniharibia kwa BH, ujue BH ndo roho yangu mimi, haya maandishi mwingine hayamuhusu, ni mawazo yangu tu.
Huyu anayetumia jina langu la pili ni mtoto majirani huwa wananisingizia kuwa ni wangu, nami ninamuogopa Mungu sijamkataa ninaishi naye
kwahiyo sio yeye anayetumia jina lako eenh kwakweli nisiwe muongo kuhusu mjomba ako sijui labda akija mdogo akee Lyon atajibu
Asante Obe,msalimie huyo anaetumia jina lako la pili..na Mungu awabariki katika likizo yenu msafiri salama,mrudi salama sukari acha angalau kg mbili ....stay Blessed
kwahiyo sio yeye anayetumia jina lako eenh kwakweli nisiwe muongo kuhusu mjomba ako sijui labda akija mdogo akee Lyon atajibu
Mmh ni mtoto au mkeo sasa me nitakuharibiaje kwa BH jaman
Mmmh!...hakubadilisha jina aligoma, kwa hiyo ndani ya nyumba yetu mimi na yeye tunatumia majina yetu, ila haka katoto nakokapenda kwa sababu nilisingiziwa (kenyewe hakajui) ndo kanatumia jina langu
Kabisaa..maana yuko likizo Nachingwea..tunafanyaje sasa tumtumie salaam tuAmeen mama mama hiyo salaam ya kumsalimia anayetumia jina la binamu umetoa kwa roho moja eenh
AhahahhahahaKabisaa..maana yuko likizo Nachingwea..tunfanyaje sasa tumtumie salaam tu
Naanzaje sasa kukupamba huku una nyumba nyingi..ujue inabidi uwe unanipamba kwa maneno mazuri kwake, mimi huyu kwake ndo sisikii wala sioni utasema nimepewa limbwata la bata
uamuzi mzuri...nimeamua kufanya maamuzi sahihi, nawaachia mfuko mzima wa sukari kilo 50 wakiweza kuimaliza kabla kabla ya Machi labda sukari waifanye mboga. Ulishwahi kula ugali na sukari? Sasa huku tuna ugali wa makopa
Ulisingiziwa eenh lakini kitanda hakizai haramu...hakubadilisha jina aligoma, kwa hiyo ndani ya nyumba yetu mimi na yeye tunatumia majina yetu, ila haka katoto nakokapenda kwa sababu nilisingiziwa (kenyewe hakajui) ndo kanatumia jina langu
...mjomba wangu mdogo Lyon Lee katekwa Moshi, hivi hawa ndugu zangu sijui wamelogezewa na vitu vyeupe, yaani ni mimi tu ndo nikalogezewa na chokolate
Kabisaa..maana yuko likizo Nachingwea..tunafanyaje sasa tumtumie salaam tu
Ulisingiziwa eenh lakini kitanda hakizai haramu
Naanzaje sasa kukupamba huku una nyumba nyingi
...huchelewi kuniharibia kwa BH, ujue BH ndo roho yangu mimi, haya maandishi mwingine hayamuhusu, ni mawazo yangu tu.
Huyu anayetumia jina langu la pili ni mtoto majirani huwa wananisingizia kuwa ni wangu, nami ninamuogopa Mungu sijamkataa ninaishi naye
..mwanao ana hila sana na mimi, sijui ana tatizo gani na mimi. Mbona wewe unajua kabisa mimi tatizo langu kwako ni moja tu, huwa husomi vile vimaandishi vidogooooo navyoandikaga