Makapuku Forum

Asante Obe
 
 
Good morning!!

Usihangaishe kichwa kujiuliza good morng ipi ni hii hii ya asubuhi njema wala sio ile ya dawa ya kifua.. maana akili nyingi nazo tatizo, wazungu walisema too much(2 march) is harmful, mweny akili akiona bango limeandikwa usikojoe hapa yee anakunya kabisa, eeh si kaambiwa hakuna kukojoa tu..


Asubuhi njema ndugu zangu nawapenda mnoo, maana asiyempenda ndugu yake anaemuona, hawez kumpenda mungu asiyemuona.

Kwa bi maana hiyo nasema nawapenda saana ndugu zangu, zile baraka za mola wetu mtukufu ziende kwetu sote.. jambo kubwa ni tupendane, na tuwapende wazazi wetu, tuwafanyie ihsan wazaz wetu, imeandikwa pepo ya mwenyezi mungu ipo chini ya nyayo za mama zetu, naomba tuwapende saana mama zetu, achana na hawa waduwanzi wazungu eti kuna kitu kinaitwa siku ya mama
.. mpende na umuoneshe upendo wa juu kila siku, mthamini na muheshimu na umjali. kingine ni tufanye saana ibada, tusamehe wale tuliowakosea nasi tupate kusamehewa... Naihusia nafsi yangu na zenu pia

Siku njema nawapenda mnooo, sijawahi penda hiv maishani, upendo nilionao kwenu watu ambao siwafahamu kwa picha unazidi hata baadhi niwajuao kwa macho..
 
Shukran mkuu ...unapendwa zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…