Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Umekatazwa niniiiiWala usijaliii nishakatazwa
Umekatazwa niniiiiWala usijaliii nishakatazwa
Sitaki kusutwaAhahhahahah mbavu zangu mimi
AiseeeSasa young namjua mie hata anavyofanania simjui woiii nachat na avatar [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sakayo akili zake anazijuaa yeye kwa kweliii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sii kwa cheko hilo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usutwe na nani tenaSitaki kusutwa
Shunie niko mtaani wenu ujue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nalifahamu hiloSakayo akili zake anazijuaa yeye kwa kweliii
Nimefurahi tu ila wewe hapana jamaniSii kwa cheko hilo
Haujarudi tu baridi vipiiiShunie niko mtaani wenu ujue
Haujarudi tu baridi vipiii
NiambieeSakayo akili zake anazijuaa yeye kwa kweliii
KhaaaNalifahamu hilo
Ujue napima upepo eeh.... Naona kuko shwariNimefurahi tu ila wewe hapana jamani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanapiga masanga tu hawana wasiUjue napima upepo eeh.... Naona kuko shwari
Kunywaaaaaaaaa![]()
Woii...!
Napasha hapa nile mbuzi..! Xmass inaanza mapema [emoji3][emoji3][emoji3]
UmenimisNiambiee
HahahahaUjue napima upepo eeh.... Naona kuko shwari
Woooiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanapiga masanga tu hawana wasi
Nalifahamu hilo sana hivyo viumbe havinisumbui kabisa kama nimewazaa mwenyewe unaishi nao kwa akili tuWoooiiii
Hilo nalo lilinishinda ujue!!!!
Ndo wanaume my dear!!!! Never trust them!!!