Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kanisa hili shunie hawezi kubanduka
Ebu nipelekeni jamaan kunanifaa sana huko dooh kitu cha baridiiiii
Hahahahaaaaa

Nimecheka huko nilikokuwa hadi basi.

Kuna kanisa huko south Africa wat wanakunywa beer wakati wa ibada. Kuanzia mchungaji hadi waumini.

Sass hili sio jambo la kufurahi ila mimi nimemkumbuka Shunie nikaanza kucheka tuu.

Hilo kanisa wakula Heineken tuu! Sijui wana share na heineken..

e2241d71dfa816b97e524185746d821c.jpg


Shunie Twende zetu south basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom