Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
MfyuuuuuMmmh
MfyuuuuuMmmh
Nielewe wapi sio mtz huyoUlielewa mama
Yule dada angu wa kwa trump si ndio huyo
huyu nauli haizid 10 kufika nilipo

Kanambia nisikwambieKumbe yupo wozap eenh
Nimeshamsamehe

Mlale salama
Mmmh...! Leo naona kama mvua inanyesha wakati jua linawaka.Nimeshiba
Macho yangu ama nivae miwani?Umesahau eeeeh
Au niseme kile kitu
KUKUBALI KUOLEWA AU KUOA MWANAJESHI NI KARAMA KUBWA MNOO WASWAHILI WANASEMA KIPAJI ASIKWAMBIE MTU.
SASA NI PALE UNAPOMSUBIRI MWENZIO KWA MWAKA MZIMA HALAFU UNALETEWA NGUO INAUMA MNOO. NIMEJARIBU KUVAA HIVI VIATU TANGU NIMESIKIA HII TAARIFA NIMEBAKI KUMWAMBIA MUNGU WEWE WAJUA.
NACHUKUA NAFASI HII KUWAPA POLE WAFIWA WOTE .NA KUWAPA MOYO WANAJESHI WOTE NYIE NI ZAIDI YA MASHUJAA. REST IN PEACE OUR HEROES![]()
Binamu kuwa serious toa mambo ya utani hivyo vitu uvisikie tu...nilimuona mke wa marehemu kavaa kandambili, labda ungevua viatu ukavaa kandambili
Ngiri hawezi kuingia chaka hili.....mvua zinazonyesha hizi ngiri wametoka porini wamekimbilia mjini
Pamoja mkuuNi poa sana Mkuu the killuminat!
Na lugha aliyoandika haipo, labda kama ni kinyantuzi..Andika kiswahili hebu

Mie mmoja wapo.Mie ndo sipati notification auuuuu
Nawe utapata kusamehewa.Nimeshamsamehe
Kiasi ndugu yangu.Sawa sawa lakini upo poa