Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Utanigombanisha na sakayo...acha kuqoute anko, hasira zikipanda unajua hakuwekwi kitu humu
Utanigombanisha na sakayo...acha kuqoute anko, hasira zikipanda unajua hakuwekwi kitu humu
..ujue haipendezi kuquote story kama hii, natest mitambo ya kuqoute
Endeleeeni mfyuuuu nimekusifia kumbe nawe ni wale wale
![]()
Heineken za mtaani kwenu . Leo nipo huku mtaani kwenu.
Mdogo ake jirani mbona una hasira?Endeleeeni mfyuuuu nimekusifia kumbe nawe ni wale wale
Ndio mana nakupenda binamuhalaf kwenye story moja apo jina lao obe kumbe ni kufanya meditation
Nikikutukana kimakonde itapendeza so much 😀😀😀😀
Shunie mzimaEndeleeeni mfyuuuu nimekusifia kumbe nawe ni wale wale
...unapenda kutukana jombaaaa, cheeee
Shunie mzima
Asante kijana habr yakoKaribu kabisa pita ndani
Asante kijana habr yako
Familia iko vizuri uko kigoma kwenu au umekuwa unazurula kama samakiSafi sana tu kaka Mungu anasaidia..!
Vp lakini familia nyumbani
Yaaani nakata za bariidiiii tuuu...Nina hamu na hiyo kitu na inavyotoa jasho acha niitafute tu
Hahaaa! Hiyo kitu nimekula jana bhana...Sijaona Hot chair hapo chief..
😀😀😀
Familia iko vizuri uko kigoma kwenu au umekuwa unazurula kama samaki
Hahaaa! Hiyo kitu nimekula jana bhana...
Kwendraaaaa...mimi hadi sasa bado nawashangaa, kumbe ndo wanavyofanyaga hivyo!! Nimechukizwa sana na kwa kweli wanakosea, kwa kuwa nimeshatest mitambo, nimeona inapendeza sana ila sitaquote.
Asante kwa story, si unajua mimi huwa nazitunza nazisoma wikend huku nanyonya mvinyo