BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Naamini umeamka salama..ubarikiwe Obe ..mpira uliaje matokeo.Amen, asante BH kwa nukuu nzuri na mibaraka ya usiku. Naangalia mpira na kwa kuwa ushaniombea basi ukiisha mpira naenda kulala straight.
Usiku mwema kwako pia
Mmmh[emoji144]...asante kwa kuwa tumewalilia pamoja wanajeshi wetu na zaidi asante naamini huwa huingii church unatafuna jojo
Mbona wagunaMmmh[emoji144]
SawaaaaSi tushamalizana ata ukifungaa
Ww chalii yang hata hunitafute ujue nna maswahiba ganiYou are missed..
Nini tena Clkey..Ww chalii yang hata hunitafute ujue nna maswahiba gani
Mambo mambo tu rfk yanguNini tena Clkey..
Kuna tatizo Gani?
Nimcheke nini tenaShunie ili akucheke
Anitumie nini tenaAfu nimefunga PM
Hebu tuma pm kwa Shunie basi
Ebu nitumieNamtumia shunie wozap atakutumia au njoo pm
Maka za weweHakuna na haitakuja kuwepo..
Me wa honeymoon ninapoelekea nitawamiss sana jamaan hata cha kusema sina ebu tuwasiliane mwisho mwishoMaraaaa paaaaapuuuuuuuu mwenye kivuli hakijui kumbe kinajulikana sana ...
Ngoja nimsubirie wa honeymoon akujee kwanza ndo upate vyako livuu
HakunaaaaaMishe zinasonga na ukizingatia msimu huu mananasi yamejaa changanya na hali hii january hiyo vyuma vimekazana ....kwani kuna njaa kali mbele ya nanasi??
Nishamtumia pmEbu nitumie
Ni nini hiko mnatumiana pmNishamtumia pm
WoyoooooooooooMe wa honeymoon ninapoelekea nitawamiss sana jamaan hata cha kusema sina ebu tuwasiliane mwisho mwisho
Kaniomba nisikuambiee.....Ni nini hiko mnatumiana pm
Yanasaidia sanaHakunaaaaa
Ebu nitumie kabisa zile heinken kwa tigo pesa jamaan ninywe kabisa tunaweza tusionaneWoyooooooooooo