natumai wote mmeamka salama wa salmin, tumshukuru mungu kwa hilo, hata kama hujaamka salama pia mshukuru pia, huo ni mtihani na chochote anachokupa mwenyezi mungu huwa ni mtihani aidha umshukuru ama umkufuru, tusiwe wenye kumkufuru mola wetu mlezi ambae ametupa neema nyingi nyingi.
Niwatakie Asubuh njema na siku njema makapuku wote nawapenda saana.