Jamaan jaman umejuaje kama nina kipilipili mimi...ni original wewe wa wapi wewe
sio kama wewe umeshindwa kuweka dread kisa nywele kipilipili
Haha...sure, hapa hawawezi kuamini kuwa ni wewe unatembea mchana nikakufotoa picha
Aww nilihisi tu mamaOf course darling daughter naturally
Hakuelewi na mambo zako ujue kuna mda unamvuruga tu hajui akuweke kundi lipi...ujue mimi na yeye huwa hatuelewani kabisa, sijui kwanini jamani. Hebu kaa naye umuelewesha manufaa ya kunipenda mimi. Simuelewi kabisa
Ahahahahh nakufahamu mamaUmeona eeeh...
Mama hapo umempa bichwaaUbarikiwe sana Obe unalifanya jukwaa liwe na maana kubwa sana wewe ni mtu muhimu sana kwetu asante sana
Mfyuuuuuuu..mimi kwani nilitaka shikamoo? Mimi nilitaka aniamkie kimalividavi, sio salamu kavu kama shati la mwalimu wa zamu
Mama mbavu zangu yaan ungekuwa mtu wa pombe ningekuuliza leo umekunywa kinywaji ganiNapenda kuamkia siku nyingi napokea tuuuu wacha nizigawee
Hahahaha yaani huwa nimemuweka kwenye mabano ila kumshukuru ni muhimu..shukuru kwa kika jambo my baby girlMama hapo umempa bichwaa
Nipo huko na kambi nimeweka kuna story nimewekaKona kona fulani hivi, sema punde tuu hivi ukapotea
...sure, hapa hawawezi kuamini kuwa ni wewe unatembea mchana nikakufotoa picha
Hahaha Shunie wangu unanipenda mnoo mpaka najishangaaa.hutaki nilinganishwe na huyoooo hahahaha Love you my baby girl
AhahahahhhhhHahahaha yaani huwa nimemuweka kwenye mabano ila kumshukuru ni muhimu..shukuru kwa kika jambo my baby girl
Duuuuhhh..mimi kwani nilitaka shikamoo? Mimi nilitaka aniamkie kimalividavi, sio salamu kavu kama shati la mwalimu wa zamu
...ujue mimi na yeye huwa hatuelewani kabisa, sijui kwanini jamani. Hebu kaa naye umuelewesha manufaa ya kunipenda mimi. Simuelewi kabisa
Mmhhh...ni original wewe wa wapi wewe
sio kama wewe umeshindwa kuweka dread kisa nywele kipilipili
Hakuelewi na mambo zako ujue kuna mda unamvuruga tu hajui akuweke kundi lipi
Ahahahh kama nakuona mama hapo ndio anakuvurugaDuuuuhhh
Mama hapo umempa bichwaa