makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,449
- 108,522
Katika uumbaji mwenyez mungu aliumba viumbe kuonesha ukuu wake, na katika kuviumba hakuumiza kichwa wala akili, ila katika maisha ya kila siku wana nafasi yao, kama hvyo katika food chain wanafiti sehemu kukamilisha chain.. hii aliifanya kusudi kuonesha ukuu wake, na wale wanaompinga wapate kuelewa, kaeleza katika kitabu chake kitukufu.Kuna wakati hata unaweza kusaili kama kweli kulikuwa na haja ya kuumba kiumbe kama hiki kwa sababu faida zake ni chache sana. Baadaye ukisoma wanasayansi na Ecology & Food chain yao ndo unaona kuwa kila kiumbe kina faida yake....
Tafadhali bwana bado tunamuitaji shemela huyoSijasema utest kifo, nimesema jaribu tujue kama kuna poison ya kutosha au laa..[emoji3] [emoji3] jaribu kidogo tu kiongozi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nko poa kabisaSalama shemela, vipi wewe kipenz changu!?
Nafurah kwa hilo shemela.Nko poa kabisa
Tutarewind shemela lazima vumbi litimke leoAweke pia na salima wa papii kocha, goma nalielewa sana hili.. mie nimeyarudi mayenu vya kutosha, kijasho fumu, sio mbaya tukaisikiliza wote humu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naomba unijaribie wewe kama hutojali, naona koo lako na langu saizi moja, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kushukuru [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nafurah kwa hilo shemela.
Maelezo safi kabisa mkuu. Yeye daima Atabakia kuwa Ndiye [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Katika uumbaji mwenyez mungu aliumba viumbe kuonesha ukuu wake, na katika kuviumba hakuumiza kichwa wala akili, ila katika maisha ya kila siku wana nafasi yao, kama hvyo katika food chain wanafiti sehemu kukamilisha chain.. hii aliifanya kusudi kuonesha ukuu wake, na wale wanaompinga wapate kuelewa, kaeleza katika kitabu chake kitukufu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Maelezo safi kabisa mkuu. Yeye daima Atabakia kuwa Ndiye [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahahaha, muonja sumu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Naomba unijaribie wewe kama hutojali, naona koo lako na langu saizi moja, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu, unainkareji kifo? Au uliona scene ya hivyo kwenye Bongo muvi?
Njoo na kibwebwe kabisa shemela siunajua kwangu she hakuna nipo he tu, so khanga kwangu adimu, ukikosa hata shati la shululu beba utafungia kibwebwe..[emoji23] [emoji23]Tutarewind shemela lazima vumbi litimke leo
Sumu pia huonjwa[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu, unainkareji kifo? Au uliona scene ya hivyo kwenye Bongo muvi?
Hahaha, nitaonja kwa niaba yake msihofuTafadhali bwana bado tunamuitaji shemela huyo
Ukishakalia kichwa ndio unapojua umuhimu wa matako.Hahahahaha, muonja sumu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ntajtahid shemelaNjoo na kibwebwe kabisa shemela siunajua kwangu she hakuna nipo he tu, so khanga kwangu adimu, ukikosa hata shati la shululu beba utafungia kibwebwe..[emoji23] [emoji23]
Hata ww una umuhimu wako hapa kfHahaha, nitaonja kwa niaba yake msihofu
Sawa shemela.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ntajtahid shemela
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Shemela huyu kwenye avatar yako ni nani, yaonesha unampenda mnoo.