Makapuku Forum

Nawe pia mpendwa.
 
Nawe pia mpendwa, ubarikiwe pia.
 
Kuna vitu vya kujaribu mkuu, kuna taster ya umeme, wapo special mahotelin kuonja msosi, lakin ushawahi kuona testa ya kifo..[emoji23] [emoji23]
Sijasema utest kifo, nimesema jaribu tujue kama kuna poison ya kutosha au laa..[emoji3] [emoji3] jaribu kidogo tu kiongozi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Umenikumbusha mbali mnoo mkuu, hiki kiumbe sio kizur kabisa hiki..
Kuna wakati hata unaweza kusaili kama kweli kulikuwa na haja ya kuumba kiumbe kama hiki kwa sababu faida zake ni chache sana. Baadaye ukisoma wanasayansi na Ecology & Food chain yao ndo unaona kuwa kila kiumbe kina faida yake....
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

The loneliest people are the kindest

The saddest people smile the brightest

The most damaged people are the wisest

All because they don't wish to see anyone else suffer the same...

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…