Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Lakini sakayo si rafiki yako?Sawa sawa basi nilichokiongea ndio hiko siweki
Lakini sakayo si rafiki yako?Sawa sawa basi nilichokiongea ndio hiko siweki
Binadamu ndio wamenifundishaKakufundisha nan roho hiyo
Salama kabisa mkuuTupo njema za wewe
Apo sawa asanteBasi endeleeni tu kushtuana
Ni zaidi ya rafiki kwangu siweki na ananijua vizuri hata aje kusoma hapaLakini sakayo si rafiki yako?
Na uzuri hauna paka lazima binadamu ndo tunafundishanaBinadamu ndio wamenifundisha
ChangamotoNi zaidi ya rafiki kwangu siweki na ananijua vizuri hata aje kusoma hapa
Safii mura makaveli10Njema tu mtu wa kijani... Inakuwaje!?
Shemela we acha tu, nina maseke, siku ya leo ni mbovu hatari, leo asubuh kabisa trafiki wameninasa, narudi gari inanizimikia wese limekata.. baadae nimempa dada yangu karnda kugonga mwembe huko.. na mengine mengi makubwa zaidi ambayo hayasimuliki ni maseke bin maseke tu shemeji..Kwa nn kdg shemela![]()
![]()
Kwako!!Ahahahh unalipatia wapi kwa mfano
Hhmm.. labda shunie wa photocopy, shunie akiamua lake kaamua. Wacha nijaribu labda aje lee empire hapa ndio itasaidia.Ebhu mwambie asifanye hivo
Pole sana mkuuShemela we acha tu, nina maseke, siku ya leo ni mbovu hatari, leo asubuh kabisa trafiki wameninasa, narudi gari inanizimikia wese limekata.. baadae nimempa dada yangu karnda kugonga mwembe huko.. na mengine mengi makubwa zaidi ambayo hayasimuliki ni maseke bin maseke tu shemeji..![]()
![]()
![]()
Sasa hapa na umuhimubwa kuwa na mwenza unaonekana, mtu anaweza kujitia kitanzi hiv hiv kibwege kibwege
Shemela we acha tu, nina maseke, siku ya leo ni mbovu hatari, leo asubuh kabisa trafiki wameninasa, narudi gari inanizimikia wese limekata.. baadae nimempa dada yangu karnda kugonga mwembe huko.. na mengine mengi makubwa zaidi ambayo hayasimuliki ni maseke bin maseke tu shemeji..![]()
![]()
Sasa hapa na umuhimubwa kuwa na mwenza unaonekana, mtu anaweza kujitia kitanzi hiv hiv kibwege kibwege
Ila wewe shunie una hasira za karibu na kwanini huwez kucontroll hasira zako mamii..Maka sio nongwa serious siweki yeye na sakayo wanafanya maksudi ya kuquote story tena lyon ndio alianza kuquote kesho yake sakayo akamwita eti kamlipizia tuliongea sana hawaelewewi wanafanya ndio mchezo wao hapana jaman
Binadamu ndio wamenifundisha

Dah.. ndugu yangu acha tu, hapa najionea duble duble tuu.....pole, ujue hiki ulichokiadika hapa ndo nimepanga kukiandika kwenye muziki.
Mwenza ni muhimu usifanye mchezo, kuitwa beibe ni tiba halisi nyingine ujanja ujanja tu
Ahsante ndugu yangu.Pole sana mkuu
Shikamooo.....pole, ujue hiki ulichokiadika hapa ndo nimepanga kukiandika kwenye muziki.
Mwenza ni muhimu usifanye mchezo, kuitwa beibe ni tiba halisi nyingine ujanja ujanja tu
Utapaka hata mkorogo ili tupate mapaund jamaaniWoiiii mapaund nayakosa mie jamaan♀️ mke mweee ebu ukuje unisaidie maka sina sura mie wala hiyo rangi me cheusi mangala fiiii sura ya baba