Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Hata za juzi sitaki binamuoooh, hii sio habari nakwambia kweli. Uliposema hutaki kusikia chochote cha jana au leo mimi nikaheshimu. Nimeacha kuweka hizo, nimeweka za juzi
Hata za juzi sitaki binamuoooh, hii sio habari nakwambia kweli. Uliposema hutaki kusikia chochote cha jana au leo mimi nikaheshimu. Nimeacha kuweka hizo, nimeweka za juzi
Kwenye page za jfMnyama yupiii
Hv hzo ban wanakulaga eeehAhahhaha kwani binamu yule ban kaipata hapa au alivyotoka hapa ujue sijamuelewa namshtukia ban
...ha hahahahaa, si nimeona kuna mdau mmoja kapigwa ban humu alikuwaja kuandika yake ya kipuuzi
Hv hzo ban wanakulaga eeeh
Zaburi 02 Joto tena, unanifanya nisitamani kurudi mji huo.Salama kabisa, tupo tu jirani na joto la hatari
Muziki: Utambulisho
...eeeh, kaa (sio mdudu, au kuweka makalio chini) ukijua kabisa kuwa kuna tofauti ya utambulisho hauhusiani na ugeni au kutojulikana. Suala la msingi ni wewe unataka utambulishweje, wengine tunawajua na tunawatambua kwa namna walivyo na tukichoka kuwatambulisha tunawawekea na lebo kama zile za bei, wanauzwa. Najiaminisha kwako wewe kapuku mheshimika kuwa wewe unajitambua kama Kapuku na kaa ukijua ukapuku sio ule tunaoufasiri mitaani, sisi ni zaidi ya hao na ndo maana tuko humu tukiwa na kila na aina ya ukapuku wa utajiri. Utaitafuta maana siku nyingine kwa wakati wako.
Sijaingia hapa kutambulisha mtu au kitu ila nimeingia hapa nikiwa na nia moja tu ya kukuchangamotisha (challenge +motivation) kuwa ni vizuri kujitambua kabla hujatambulishwa. Ukifanyiwa utambulisho, anayekutambulisha anaweza akakosea asikuseme wewe, kama ilivyotokea kwa anko wangu pale alipomruhusu mume wa mjumbe amtambulishe, kumbuka huyu muwe alikuwa na bifu ya kuchukuliwa mke na anko wangu sasa utambulisho ukawa ni kuvuana nguo wakati anko alikuwa kapiga suti kama diwani mpya.
Muziki sasa, jitambue binafsi na wengine wote tutakutambua bila kukuwekea kitambulisho, kama wewe ni mwalimu basi kuwa mwalimu kweli, kama ni askari fanya yanayostahili kufanywa, na ukiwa mkulima basi baki kuwa mkulima na sio mshamba. Na kama wewe unafanya mazuri ongeza, ukiwa unafanya mabaya, zidisha lakini kaa ukijua hutakiwi kutambulishwa na mwingine wakati una uwezo wa kujitambulisha mwenyewe. Nakupenda Kapuku na unalijua hilo.
Teh teh teh... Nenda kasome tu, uongeze knowledge mwenzangu.Me na bangi wapi na wapi shemela si ndio mambo yenu we na maka me niambie kuna uzi wa heinken
Hhmm.. mwenzangu niazime tudamu twako.. maana mimi na hizo mbalimbali, nilipo mimi hizo hazipo kabisa.He he umejuaje maka zilipo hizo nipo mimi pembeni![]()
Mwambie bangi haina mwenyeweUkasome tu shemela
Halafu shunie si nilikuambia nimeacha.Me na bangi wapi na wapi shemela si ndio mambo yenu we na maka me niambie kuna uzi wa heinken
Halafu shunie si nilikuambia nimeacha.Me na bangi wapi na wapi shemela si ndio mambo yenu we na maka me niambie kuna uzi wa heinken
...anko wangu si alitambulishwa na yule mume wa mjumbe mnapoishi. Sema wewe hukuhudhuria vikao vya nzengo/mtaa. kwani anko Lyon Lee hakukwambia? Kikao kiliisha maana anko alienda akamrukia yale mateke ya kwenye video, basi wakaanza kupigana pale ila wenye macho tukajua mmoja anagombea mke, mwingine anagombea mchepuko. Baadaye anko akashindwa akalipishwa hela za usumbufu

Mgeni hugongi hodi, umesimama tu mlangoni km mti, utakaribishwaje sasa..kumbe humu wagen wanafaidi
na mimi mgeni mbona hamnkaribishi
Mama mchungaji kwenye ubora wako...Zaburi 02
11 Mtumikieni BWANA kwa kicho, Shangilieni kwa kutetemeka.
12 Shikeni yaliyo bora, asije akafanya hasira Nanyi mkapotea njiani, Kwa kuwa hasira yake itawaka upesi; Heri wote wanaomkimbilia.
