Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Inakuhusu, Jisogeze

Kifupi tu, tena kwa ufupi kama muhtasari wa taarifa ya habari ya saa mbili, oh, nilisahau kwamba huna kawaida ya kusikiza taarifa ya habari, unapenda kuangalia. Kila zama na kitabu chake, hawakosei wanaoipitiwaga na kuniita Mzee Obe. Mimi zangu ni kufungulia redio ili nisomewe taarfa ya habari just like a boss, sio nilazimike kukodoa macho kutizama habari kwa TV kama nimekuwa mtuhumiwa kizimbani.

Weekend ilikuwa nzuri kiasi kwangu, kichwa kilinigonga kidogo nilipoambiwa wiki ijayo ni December na nijiandae na mambo kadha wa kadha na msisitizo ukiwa kwenye sherehe zinazoambatana na December jumlisha kodi na ada ya mtoto. Yote kwa yote, wewe kapuku unahusika na unastahili yote mazuri hapa na pale na ndiyo maana ninakufurahia unapokuwa hapa na kushare, sharing is caring.
Muziki sasa, hivi ulishajiuliza why nilichagua kuandaa hiki kipengele, well, FYB, muziki hutuleta pamoja, unatuweka karibu, it's a social scene-interaction ambapo tunajumuika ukiacha kuburudika basi tunapeana maarfa kuanzia siasa hadi technolojia na mengine ambayo ni ya manufaa sana katika harakati za maisha yetu ya kila siku. Nikutakie wiki nzuri na unajua nini, Makapuku Forum inakuhusu, jisogeze.
 
Shuktani mkuu..
 
Asante binamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom