makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,444
Wanatunyanyasa kama tunatumia bure, sijui ingekuwa ni bure ingekuwaje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gesi ipo ya kumwaga, juzi mvua imepiga maji yatakuwa yakutosha na mgao haujaisha.. sasa hiyo tren ya umemr si tutakuwa tunalala porin kufanya utalii bila kupenda..[emoji23] [emoji23]