.....nani mzee, au unataka kusema mimi ni mzee? Ngoja nimtafute anko
Lyon Lee alete cheti changu cha kuzaliwa ,,ila sijui kama atakipata. Nilipotaka kwenda kupiga pasport ilibidi nikaape mahakamani
Narudia tena, mimi ni kijana sema nina mambo ya kizee