Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Safi Sana, nashukuru Mungu Kwa pumziNko poa kabisa za masiku

Nawapa hi wote humu ndani
![]()
shikamoo binamu
Kwann nisile wakati Shululu anahangaika mchana kutwa mm na wawili tule...marhaba binamu, mbona unanisalimia jioni sana? Hujala?
Kwann nisile wakati Shululu anahangaika mchana kutwa mm na wawili tule
Muziki: Nia Kunia Sio Kukuna Nazi
...sio kwamba leo nimekuja mapema sana, ni kawaida yangu kuingia mida hii maana kila mmoja wetu kajipumzisha, well nisifanye sweeping generalization kana kwamba wote tuna ratiba sawa. Ukute Makapuku wengine ndo kwanza sasa hivi wanasaini madaftari ya mahudhuria kazini. Makapuku ni kama kokoro, tunakutana na kila mmoja popote, kivyovyote ilmradi tu ili kulifanya Jukwaaa hili kuwa sehemu nzuri kabisa ya kutembelea. Ninakusalimia sana na jana nilikumbwa na haja za kimwili zisizozuilika nikaamua kujituliza.
Kila mmoja ana ndoto zake, nzuri na hata mbaya zina nafasi yake, kaa chini. Kuwa na nia juu ya kitu ni muhimu na ni lazima uzingatie vitu kadhaa nitataja vitatu ili kunia nia yako, to capitalize on it, nia yako haiwezi kumaterialize kama huna kusudi, hilo ni moja, mbili lazima ujipange kwa agenda na tatu uwe na tabia inafanana na nia yako. Usiwe mtanashati tu ukasau kuwa mtanasuruali au mtanasketi. usipoyanya haya utasingizia wachawi kama anko wangu yeye alienda kumtongoza mlokole hajali kila neno moja la pili linafuate tusi alitolewa nduki hadi alipokutana na Kuruthumu ambaye ana mdomo mchafu akiufungua bibi yetu marehemu anastuka kaburini.
Muziki sasa, ujue huwa nafurahia sana kukuona hapa kapuku mheshimika, nina sababu zangu ambazo tofauti ya zangu na zako ndo zinalifanya jukwaaa hili kuwa zuri, asante kwa magazeti na UF, asante kwa hadithi na historia, asante kwa nukuu za kiimani na zaidi asante kwa kuweka maarifa hapa. hapa kuna elimu nzuri kila wakati bila kusahau sogozi zinazoweka tabasamu na kuleta raha yenye karaha ndani yake. Nakupenda na kama una tatizo la hili pambana na hali yako kwa mali.
Nzuri kabisa shemela, za msiganiSalama shemela wangu za ww
Pole shemelaSipati notification aisee mpaka hasira
Anakusalimia sana
Ndioooo.....ha hahahaah, safi. kwa hiyo umeshiba eeeh?
Muziki: Nia Kunia Sio Kukuna Nazi
...sio kwamba leo nimekuja mapema sana, ni kawaida yangu kuingia mida hii maana kila mmoja wetu kajipumzisha, well nisifanye sweeping generalization kana kwamba wote tuna ratiba sawa. Ukute Makapuku wengine ndo kwanza sasa hivi wanasaini madaftari ya mahudhuria kazini. Makapuku ni kama kokoro, tunakutana na kila mmoja popote, kivyovyote ilmradi tu ili kulifanya Jukwaaa hili kuwa sehemu nzuri kabisa ya kutembelea. Ninakusalimia sana na jana nilikumbwa na haja za kimwili zisizozuilika nikaamua kujituliza.
Kila mmoja ana ndoto zake, nzuri na hata mbaya zina nafasi yake, kaa chini. Kuwa na nia juu ya kitu ni muhimu na ni lazima uzingatie vitu kadhaa nitataja vitatu ili kunia nia yako, to capitalize on it, nia yako haiwezi kumaterialize kama huna kusudi, hilo ni moja, mbili lazima ujipange kwa agenda na tatu uwe na tabia inafanana na nia yako. Usiwe mtanashati tu ukasau kuwa mtanasuruali au mtanasketi. usipoyanya haya utasingizia wachawi kama anko wangu yeye alienda kumtongoza mlokole hajali kila neno moja la pili linafuate tusi alitolewa nduki hadi alipokutana na Kuruthumu ambaye ana mdomo mchafu akiufungua bibi yetu marehemu anastuka kaburini.
Muziki sasa, ujue huwa nafurahia sana kukuona hapa kapuku mheshimika, nina sababu zangu ambazo tofauti ya zangu na zako ndo zinalifanya jukwaaa hili kuwa zuri, asante kwa magazeti na UF, asante kwa hadithi na historia, asante kwa nukuu za kiimani na zaidi asante kwa kuweka maarifa hapa. hapa kuna elimu nzuri kila wakati bila kusahau sogozi zinazoweka tabasamu na kuleta raha yenye karaha ndani yake. Nakupenda na kama una tatizo la hili pambana na hali yako kwa mali.
Na mm binamu shikamoo...marhaba binamu, mbona unanisalimia jioni sana? Hujala?
WoooooooooozaaaaaaaKwann nisile wakati Shululu anahangaika mchana kutwa mm na wawili tule
Safi sana shemela sijui kinyerezi hukoNzuri kabisa shemela, za msigani
Yaan ni jangaPole shemela
Sisi umeme umeenda kwaoYaan ni janga