Poa kabisa, za kwakoPoa poa afande,
niaje lakn
Pande hizi asubuhi imetulia mvua kwa kwenda mbele.Wadau asubuhi inakwendaje?
VeepeHeshima yako mkuu
Shemela[emoji7]Pande hizi asubuhi imetulia mvua kwa kwenda mbele.
Shikamoo binamuTGIF
Leo nimedhamini magazeti, yasomeni kistaarabu, usinyofoe kurasa za katikati. Mind you, haya ni magazeti ya jumuiya, sio unavaa Hadi miwani kuyasoma.
Asante shululu kwa kunipa heshma adhimu.
BH , umeamka salama mama!?
Wengine wote tuwe na wakati mzuri leo, don't work so hard it's furahiday.
Anko, vipi ulifanikiwa kumpatia CM dhamana?
Mkuu veeep tena mbona ukaliVeepe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemela[emoji7]
Karibu
Pande hizi asubuhi imetulia mvua kwa kwenda mbele.
Binamu yangu shikamooTGIF
Leo nimedhamini magazeti, yasomeni kistaarabu, usinyofoe kurasa za katikati. Mind you, haya ni magazeti ya jumuiya, sio unavaa Hadi miwani kuyasoma.
Asante shululu kwa kunipa heshma adhimu.
BH , umeamka salama mama!?
Wengine wote tuwe na wakati mzuri leo, don't work so hard it's furahiday.
Anko, vipi ulifanikiwa kumpatia CM dhamana?
Mwenzio namkaribisha shemela we unanicheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi jamaan mnavyokaribishana mtu na shemela wakeMwenzio namkaribisha shemela we unanicheka
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Shemeji shemeji huku mwazima taa
Cc shululu