Makapuku Forum

Makapuku Forum

Zaburi 148

7 .Msifuni BWANA kutoka nchi, Enyi nyangumi na vilindi vyote.

8. Moto na mvua ya mawe, theluji na mvuke, Upepo wa dhoruba ulitendao neno lake.

9 .Milima na vilima vyote, Miti yenye matunda na mierezi yote.

10 .Hayawani, na wanyama wafugwao, Vitambaavyo, na ndege wenye mbawa.

11. Wafalme wa dunia, na watu wote, Wakuu, na makadhi wote wa dunia.

12 .Vijana waume, na wanawali, Wazee, na watoto;

13 .Na walisifu jina la BWANA, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.

14. Naye amewainulia watu wake pembe, Sifa za watauwa wake wote; Wana wa Israeli, watu walio karibu naye. Haleluya.
Amen, Asante mama mchungaji kwa neno la uzima Ubarikiwe sana
 
Asante Mtumishi Mwema wa Bwana
7c04a71d02878da3f1b6b033c57560b6.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom