Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tulikuwa tunajiuliza na shunie eti ushawahi kumbana na viben 10Muone kwanza
Tulikuwa tunajiuliza na shunie eti ushawahi kumbana na viben 10Muone kwanza
Hivi ngoja nikuulize unanijua mimi au unajua hata ninavyofanania unapenda avatar fake ebu achana na mm kabisa tena usiniongelee fanya yakoTabu sana kupenda usipopendwa,
Hujui kama natoka na lee au unanijaribuuuu au umeambiwa me mama wa fursa tuheshimiane usinijaribuTabu sana kupenda usipopendwa,
Wozaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa shem lakeee hilooooHivi ngoja nikuulize unanijua mimi au unajua hata ninavyofanania unapenda avatar fake ebu achana na mm kabisa tena usiniongelee fanya yako
AhahahahhhhhTulikuwa tunajiuliza na shunie eti ushawahi kumbana na viben 10
Nitakufwaaaaa![]()
![]()
![]()
maraaaa paaaaapuuuuuuu kitu box
AkomeeeeeKweli dada bila hivyo mtu atakupanda mpaka kichwani anajua mtoto mwenzie
Hivi ngoja nikuulize unanijua mimi au unajua hata ninavyofanania unapenda avatar fake ebu achana na mm kabisa tena usiniongelee fanya yako
Tuheshimiane itabidi niache kucheka cheka na watu hovyo ili tuheshimianehaha
Me matani yanayovuka mipaka sipendi jamaniWozaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa shem lakeee hiloooo
Mie nimefuta nini jamaniiinilimjibu sakayo naona kafuta post we sakayo mfyuuu zako
Tena akome na anikome nipo seriousAkomeeeee
Tuheshimiane itabidi niache kucheka cheka na watu hovyo ili tuheshimiane
Yaani acha tuuEbu njoo chemba ujue sipendi mti akuudhi ebu njo
Shem kwani nimekosea au ?Ahahahahhhhh
Moyo wangu unaujua hata unavyofanania acha nikwambie hii jf lee ndio wa kwanza na wa mwisho siombei itokee niwe tofauti nae hata ikitokea yeye ndio wa kwanza na wa mwisho fanya yakoLove doesn't ask why, mi sijapenda avatar yako wenda nimependa moyo wako
Akiiii kuna post umefuta uliniquote nakujibu nipo kama chizi ujue una dhambiMie nimefuta nini jamaniii






Wewe nakupa dk mbili ubadili mwelekeo kinyume na hapo utakuwa nextSawa,
Hila naogopa asiwe mimi kumtaka wifiyo.