Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Leo wacha viwepo tuuMmmh we siupendi viemoji
Leo wacha viwepo tuuMmmh we siupendi viemoji
Haki ya nini anayenipenda anatosha sihitaji kupendwa na wenginekutocheka cheka na watu ndo kutazuia moyo wa mtu kukupenda..?
Utakuwa hujawatendea watu haki..
Maneno kuntuMoyo wangu unaujua hata unavyofanania acha nikwambie hii jf lee ndio wa kwanza na wa mwisho siombei itokee niwe tofauti nae hata ikitokea yeye ndio wa kwanza na wa mwisho fanya yako
Hivi ukoje lakiniTulikuwa tunajiuliza na shunie eti ushawahi kumbana na viben 10
Moyo wangu unaujua hata unavyofanania acha nikwambie hii jf lee ndio wa kwanza na wa mwisho siombei itokee niwe tofauti nae hata ikitokea yeye ndio wa kwanza na wa mwisho fanya yako
Ahahahhh haujakoseaShem kwani nimekosea au ?
Hata mie niko serious kabisaaaTena akome na anikome nipo serious
Haki ya nini anayenipenda anatosha sihitaji kupendwa na wengine
Sakayo jamani ulivocheka pale shem akashangaa ndo nikauliza au ushakumbana na msala wa vitoto vya kaziHivi ukoje lakini
Mmh ebu nitumie japo katext tu au nipe codeYaani acha tuu
HahaAkiiii kuna post umefuta uliniquote nakujibu nipo kama chizi ujue una dhambi![]()
Sasa mbona na wewe unanicheka ?Ahahahhh haujakosea
Acha linitoke vidogo ni kwako sio kwangu hujui nini upande wangu inavyokuwa tuheshimiane kama ilivyokuwa mwanzoTuachane na hayo naona povu linakutoka vitu vidogo kama hivi...!!
Acha linitoke vidogo ni kwako sio kwangu hujui nini upande wangu inavyokuwa tuheshimiane kama ilivyokuwa mwanzoTuachane na hayo naona povu linakutoka vitu vidogo kama hivi...!!
Nivitoe wapi kwa mfanoooSakayo jamani ulivocheka pale shem akashangaa ndo nikauliza au ushakumbana na msala wa vitoto vya kazi
Matani yao huko huko sio kila mtu wa kutaniana na matani yaoHata mie niko serious kabisaaa
BaadaeMmh ebu nitumie japo katext tu au nipe code
Sakayo jamani ulivocheka pale shem akashangaa ndo nikauliza au ushakumbana na msala wa vitoto vya kazi







anajua