Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Sasa mbona unamuulizia tena jaman kuhusu mm au ndio shem hunitaki unataka kunigawa
Sasa mbona unamuulizia tena jaman kuhusu mm au ndio shem hunitaki unataka kunigawa
Ukifikilia kuwa viben10 ni pasua kichwa fikiria pia maumivu niyapayo, jinsi navyompenda 'ujue'Naona mdogo wangu!!!
Unajua hawa Ben ten ni pasua kichwa eeh
Naona labda mganga wake kamwambia komaa na shunie hivi viben 10 siku unajistukia pic yako ipo kwa avatar yake
Shedede tuheshimiane nipo seriousUkifikilia kuwa viben10 ni pasua kichwa fikiria pia maumivu niyapayo, jinsi navyompenda 'ujue'
'viben10 havina moyo'?
'Ujue'

kazi nzuriNi kweli mdogo wangu, mie viben ten navipiga marufuku kuliko viroba
Ukweli ganiEti ni kwelii
WapiKaribu
Tangawizi nakubebea keshoKho kho kho
Basi tuAhahahh hasira hiyo veep
Si unajuaga naamua dk sifuriKho kho kho
Akafiee mbaliiiSasa mbona unamuulizia tena jaman kuhusu mm au ndio shem hunitaki unataka kunigawa
Shedede tuheshimiane nipo serious
MmhUkifikilia kuwa viben10 ni pasua kichwa fikiria pia maumivu niyapayo, jinsi navyompenda 'ujue'
'viben10 havina moyo'?
HahaShedede tuheshimiane nipo serious
Anaweza kukuuza huyo mke mweee uwe makini naeMie simuelewi jamaa ndio shemeji yangu huyo
Basi tu
Mke mweee veep jaman
hutaki deki ya ben10Nimefanyaje tena jamaan
Nataka maji ya kijaniTangawizi nakubebea kesho
Tena kwa mkopo eti?Anaweza kukuuza huyo mke mweee uwe makini nae