Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Angalia kwa kule utaona hahahahEbu geuka basi na mie nahisi kabisa kaniimbia mie yaan kama nilimpa historia yangu
Angalia kwa kule utaona hahahahEbu geuka basi na mie nahisi kabisa kaniimbia mie yaan kama nilimpa historia yangu
Mmwaaaa mwaaaaahAsante dj Obe kwa music![]()
Geuka banaAngalia kwa kule utaona hahahah
TayariGeuka bana
Ndo nnMakapu
Malizia mkuuMakapu
Uwe unaacha ushahidi shem wane, ngoja nirudi kule nikaangalie hatua zakoKwahiyo shem sikujui wewe nakupita kimya hata like sikupi
Muziki wa Mdhamini: Wasilisha Hisia Acha Wasiwasi
Sitaki kumsemea mtu, si unajua kwanini, kwanza huwa nakuwa wa mwisho kujua vitu humu ambavyo wote mnavijua tangu jana na kingine japo ni tuhuma lakini kuna mdau kasema mimi ni domo zege. sasa niliposoma list ya domo zege nikapata njaa maana nikajua zege ni chipsi yai, nikajiuliza hilo zege limewekewa na chachandu au lina mishkaki. Lahaula nilikuwa mbali na ukweli kumbe domo zege ni ile changamoto ya kutongoza. Mmmmh, hebu jiulize , muulizeni BH kama mimi ni domo zege. Maana nimemuimbisha mwaka wa 7 huu hadi nilipopendana na mpendwa wangu, kipenzi changu wa ukweli. Sijitetei maana tatizo langu sio udomo zege ila ni kutokubaliwa kabla ya kukutana na kipenzi changu mnayemjua humu.
Muziki wa mdhamini unaletwa kwenu na Shunie aunt yangu ninayemfagilia sana. Mimi na yeye hatuchukiani na tunafurahiana mno na wote mnalijua hilo. Mnasalimiwa na anko wangu mkubwa yule anayempenda aunt yangu achana na huyu mdogo Lyon Lee nyumba nyingi, juzi kaenda kufumania mchepuko wake kilichomkuta atawasimulia asubuhi au atajidai kukaa kimya kuepusha shari la penzi jipya
Hakulaliki leo
Yaan nakuona tuUwe unaacha ushahidi shem wane, ngoja nirudi kule nikaangalie hatua zako
Njoo pm nikwambieNdo nn
Hahaha, hatimaye nimekuona shem wane hivi kule mama watoto naye anaingia?Yaan nakuona tu
Ye ndio mwenyekitiHahaha, hatimaye nimekuona shem wane hivi kule mama watoto naye anaingia?
Hahaha, hatimaye nimekuona shem wane hivi kule mama watoto naye anaingia?
La chini yake?Lile jukwaa la chini kabisa?
ZABURI 4ZABURI 4
4.Mwe na hofu
wala msitende dhambi, Tafakarini vitandani mwenu na kutulia.
8.Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara,Maana wewe Bwana peke yako Ndiwe unijaliae kukaa salama
SHALOM..SHALOM