briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Mh sasa hutumii zana, unakwepaje watoto ka anaowapata lizziebettie?Mimi mpira sitaki mkuu.
Inapoteza uhalisia.
Mh sasa hutumii zana, unakwepaje watoto ka anaowapata lizziebettie?Mimi mpira sitaki mkuu.
Inapoteza uhalisia.
Niko pouwa kaka sijui wewe?Uko pouwa lakini madam?
Mimi situmii hiyo kitu.Sikumaanisha abortion shem. Mnawavalia condom
Wote ni vidumeNataka nione watoto wazuri mkuu.
Maana nilisikia shem Lizzie anatoa watoto wakali kama midoli.
Karibu sanaMarahaba mdogo wangu
Daraja gan tena mkuu?Mkuu touch screen bado zinakwapuliwa darajani hapo!
Hahaaa bora umuulizeMh sasa hutumii zana, unakwepaje watoto ka anaowapata lizziebettie?
Dada nawe changamka bhana niitwe unkoooAcha myajenge tu
Mi sipendi masihara ya kipuuzi so you better think before hujaandikaNini tena bibi!
Tunatumia style flani hivi amazing.Mh sasa hutumii zana, unakwepaje watoto ka anaowapata lizziebettie?

Chit chit..Hapa naanza kupata wasiwasi.
Wewe mrembo uko poa?Niko pouwa kaka sijui wewe?
Kama ndiyo hivyo sadaka yangu sitoi tena.Huyu ndo hukusanya sadaka na kuhesabu