Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Unataka kula kuku na mayai eeTupia basi hata kapicha ka familia tuone.
Unataka kula kuku na mayai eeTupia basi hata kapicha ka familia tuone.
Kama amezaa kabla hatujaowana sioni tatizo.Unaweza penda toto ya mume aliyezaa na mkeo!
Mpe ushirikiano awe na kijiji chakeTh Name hataki mchezo kabisa
HahahaaaaNyie mnapiga peku![]()
![]()
![]()
![]()
Ni mamaHapana Jimena huyo ni mzazi
Aongeze zaidiTh Name hataki mchezo kabisa
Pamoja sana.Naunga mkono
Salamu zangu zimfikieAmepumzika kidogo, alikuwepo humu
Sikumaanisha abortion shem. Mnawavalia condomShemeji leo amenivunjia heshima sana, eti anadai mimi watoto wangu wote wako chooni (abortion)
Marahaba mdogo wanguShikamoo Madame
ZimefikaSalamu zangu zimfikie
Mimi mpira sitaki mkuu.Hahaa kwan unatumiaga mpira mkuu?
Mpaka 12Aongeze zaidi
Mwache atengeneze cvYaani daah Jamaa yupo gud saana
Ha haah
Si tunatumia 5G toka last year mwanzoni
Nataka nione watoto wazuri mkuu.Unataka kula kuku na mayai ee
KumbeeSi tunatumia 5G toka last year mwanzoni