Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Good morning to you all.
Happy mother's day
Ushindi najua tayari. Uko shirikisho mfunge mkanda angalau mkafikie rekodi yetu.Too late..... Ushindi uko mezani
Mla mla leo ndugu yangu mla jana kala nini???Ushindi najua tayari. Uko shirikisho mfunge mkanda angalau mkafikie rekodi yetu.
Ubarikiwe pia shem.Morning all
Its Sunday, tuwahi kanisani wapendwa.
Mbarikiwe sanaaa
Morning madam, mzima lakini?Morning family
Mzima wa afya... Sijui wewe?Morning madam, mzima lakini?
Na kwako pia braza.Wakuu ibada njema
Ni mzima wa afya madam, jumapili inaendaje?Mzima wa afya... Sijui wewe?
Pastor pray for me naumwa kifua sana.
Watu kama hawa wanafa sana kuja kwa PM.Njoo pm
Uko pouwa lakini madam?Morning dears,Happy mother's day all women .
Iko sawa sanaNi mzima wa afya madam, jumapili inaendaje?
Shemdarling iko njema lakini?Habari za Jumapili
Pamoja sana madam.Iko sawa sana
Assante shemUbarikiwe pia shem.
Siku njema!
Kala ugali na mulenda[emoji12]Mla mla leo ndugu yangu mla jana kala nini???
Hahahaaa.... Wametisha.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
HahahahHahahaaa.... Wametisha.
Kaka, mzima lakini?Good morning to you all.
Happy mother's day