Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Mfyuuuuuuu zako
Mfyuuuuuuu zako
[emoji3] [emoji3] [emoji3]....unaona aibu nje ila ndani ndo vitu mubashara
![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unaongozana nae vipiii tena inabidi umtangulize tu mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]janjaro wako hapana jaman me yaan sipatani nao sijui kwa nini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante binamu kwa nyimbo hii kwa kutukumbuka vyeusi sieMuziki: Kutokubaliana Sio Ugomvi
...nijiaminishe tu kuwa umekuwa na wikend nzuri, well, ilikuwa nzuri na wiki ndo hii imeanza, wiki ya karibu na December. Mwaka unaelekea kuisha na ni suala la kukumbushana tu kuwa kuna mengi yanakuja December, kifupi december haijawahi kumuacha mtu makini salama. Unajua ninachosema.
Nimepiga na story na anko wangu majuzi, ujue nini (hili neno nilistuka kuwa Shedede anasema linatumiwa sana na mdada anayevutiwa naye)mimi na anko tunatofautiana sana kimitizamo, yeye anatabia jumlisha za King Mswati na Bob Mugabe hapo unampata anko wangu. Kisiasa tunakubaliana kutokubaliana kiasi cha kufikia hata kunitishia kuwa nisiende kwake kunywa juice na kumsalimia aunt yangu. Huwa ni jasira tu tunaposhindwa kukubaliana. Nachofurahia ni kuwa tuna namna yetu ya kiukoo kutatua mgogoro pale tunaposhindwa kukubaliana kwa hoja. Tunajiaminisha kuwa tunapokubali kutokubaliana juu ya kitu huwa hatugombani, tunakaaa chini na kufurahia tofauti zetu na kuzivumilia. Ila mimi huwa sivumilii tabia yake ile mnayoifahamu humu, ile ya anko nyumba nyingi.
Muziki sasa, nikushukuru sana Shunie kwa kuweka magazeti humu, asante BH kwa sala na asante Shadrack K. Lwila kwa kusogoza leo humu. Sijakusahau anko wangu Lyon Lee kwa UF, ooh, nilitaka kujisahau mwenyewe, mnishukuru kwa kudhamini magazeti
Asante binamu kwa nyimbo hii kwa kutukumbuka vyeusi sie
Yaan magazeti nikiweka mwenyewe swala la udhamini najidhamini mwenyewe hakuna yeyote kudhamini nitumie korosho binamu jamanMasahihisho:
Kwenye kipengele cha muziki niliandika kuwa mimi ndo nilidhamini magazeti yaliyowekwa na aunt yangu. Nilikosea sana maana ukweli sikudhamini ila nilitaka kudhamini, sema nini ujue, Shunie ambaye ni mke wa mjomba wangu aliona nikidhamini basi nitafaidi sana akaamua kuyadhamini mwenyewe, yaani kaamua tu kunibania bila sababu ya msingi wala sekondari, labda nikifika chuo nitajua.
Kingine ambacho sikuweka ni kuwakumbusha tu Maulid (birthday ya Mtume S.A.W) itafanyika huku Lindi, kwa hiyo tujiandae kufurahia na kupiga mpunga, nitadhamini humu KF
Najuaasante aunt, nimefurahi umeupenda na vyeusi ndo ugonjwa wangu pia
Najua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama angu mweusi jamaniUlijuaje?
Hivi na BH naye ni cheusi au ndo mambo ya mbagala rangi tatu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kweli ww kaben 10[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwenzio kamzoea Lee wake na kitambi mbonyeo
YupoHivi mcute wako kasepa mbona haonekani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama angu mweusi jamani
Usiku mwema
[emoji120] [emoji120] [emoji120] uwe na asubuhi njema piaAsubuhi njema kapuku