Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Yani hapa mi nipo tayari hata kujitoa ufahamu aisee niiteni hata dr.shika tu.Akwendreeeeee me na ben 10 wapi na wapi
Haiwezi badilisha kumpenda 'ujue'
Yani hapa mi nipo tayari hata kujitoa ufahamu aisee niiteni hata dr.shika tu.Akwendreeeeee me na ben 10 wapi na wapi
Kujali wapi wanajifanya kuwa hivyo ili wahongwe mfyuuu![]()
![]()
![]()
wanajua kujali hao
Yani hapa mi nipo tayari hata kujitoa ufahamu aisee niiteni hata dr.shika tu.
Haiwezi badilisha kumpenda 'ujue'

Kasema wewe ben 10
Sawa sawa pambana na hali yakoYani hapa mi nipo tayari hata kujitoa ufahamu aisee niiteni hata dr.shika tu.
Haiwezi badilisha kumpenda 'ujue'
PambanaMi sio ben10 afu
Nayempenda ni 'ujue'
Sawa sawa pambana na hali yako
Pambana
Shunie Tatizo ni nini?Mmh kweli mapenzi yana nguvu

Aarrggghhh uhandishi huu siupendi aisee naona utoto tu mtu akiandika hivi jaman
Ahahaaaaaa !Taja jina ajue unampenda ndio nyie unampenda mtu unakufa na tai shingoni mwenzio anazama pm huko anaimbisha anajilia mautamu au we domo zege


HayaHa ha sawa tapambana kwaajili ya ujue'
Naimani ipo siku 'ujue' atajua kuwa nampenda kweli
Jamaan nimeelewa mkeo alikuteteaShunie Tatizo ni nini?
Wewe unatumia keyboard yako iko vipi?
Take the distance from Z to X before blaming my fingers..![]()
Usirudi bana kulalaAhahaaaaaa !
Narudi kulala..![]()
Narudi ! Niliota sakayo ananiita nikakurupuka usingizini...Usirudi bana kulala
Basi rudi ukamuitikie kumbe uliota hivyoNarudi ! Niliota sakayo ananiita nikakurupuka usingizini...
Hapo kwenye kurudi sasa!Basi rudi ukamuitikie kumbe uliota hivyo


Kwema kabisa, za sumbawanga![]()
![]()
![]()