Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Kwema huko Kibaha
Nipo kibaha mkuu
Nipo kibaha mkuu
Kisa shunie auItulie wapi boss, haijatulia bado inatapa-tapa hatar.
Anayenipenda anatosha sitaki mambo nyingine jamaanNdo ushapendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anayenipenda anatosha sitaki mambo nyingine jamaan
We amini unavyoaminiAmenambia ni yeye ni ushaidi wa kimazingira.
Ila waku-prove ni wewe tu.
UmeonaeeeMmh kweli mapenzi yana nguvu
Kweli shem[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana mi nae mpenda ni "ujue" sio wewe umeni-note vibaya...Shedede me mtu mzima ujue hizi mambo zenu tafuta watoto wenzio uanze kuwaambia sawa me nipo na baba d yeye humu jf ndio wa kwanza na wa mwisho ikitokea tofauti kati yangu na yeye nakuwa mtawa
Nimeona mieUmeonaeee
HayaHapana mi nae mpenda ni "ujue" sio wewe umeni-note vibaya...
Nakuamini wewe tu.We amini unavyoamini
Na wewe acha uboya si ufungukeHapana mi nae mpenda ni "ujue" sio wewe umeni-note vibaya...
Hapana nayempenda mimi ni "ujue"Kisa shunie au
AiseeHumu kuna mtu nampenda anapenda kuandika post anaishia na 'ujue'
Tatizo unao wengi ujue
Bora umeleta ushahidi mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee
Akwendreeeeee me na ben 10 wapi na wapiAisee
Na wewe acha uboya si ufunguke
Huyu hapaUmeniacha himo ujue
Hapana sitaki kufunguka nataka tu 'ujue' ajue nampenda sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanajua kujali haoAkwendreeeeee me na ben 10 wapi na wapi
Kasema wewe ben 10Hapana sitaki kufunguka nataka tu 'ujue' ajue nampenda sana