Makapuku Forum

Shem wangu hakuna safari isiyo kuwa na kona, milima, mito,
Hivi umemuuliza huyo baby wako kasemaje kuhusiana na hii tuhuma au unajichukulia maamzi kwa kusikiliza maneno
Wajua Nini shemeji,bby nilimuuliza tangu mwanzo na akanihakikishia tangu mwanzo niko peke yangu umeona, Sasa leo nasikia mara baba d sijui nini...iiiiii oh
shemeji inauma inauma yaan mi nilidhan napendwa Mimi tu kumbe....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…