makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,774
- 103,727
Mguno wa nini sasaMmmmmh
Mguno wa nini sasaMmmmmh
Bro tupo kama kawa habar ya kupambanaSafi.. niambie mndali.
Aahh.. hivyo hivyo, juzi, jana na leo tofauti ni majina tu ila hali ni ile ile...Bro tupo kama kawa habar ya kupambana
Ila mwambie sitaki bongo movie mieKakuskia.. natumai atajikaza
HayaTaratibu bhas
Yaan bora hiyo siku niwe na simu ya baba d nasoma nadeleteuna ninii lakiniii
Hapana hamwezi kuvurugana inatakiwa mtafute neno lingine kwa mfano bi mdogo mwingine aite bi mkubwaUnajua ninii nikimwita mke mwee tutavurugana na wakati me na tumosa tunaitana mke mwee acha tu tuitane wifi
Nipo kaka..Woyoooooo upooooo
Sawa wape msisitizoAibu ndio ikiwa bongo movie wakulane kiukweli ukweli
Ndio maana nikasisitiza ajikaze.. asilete mapicha picha hapa.Ila mwambie sitaki bongo movie mie
Yaan bora hiyo siku niwe na simu ya baba d nasoma nadelete



nitakuwa chizi basi nikimtext niache kumpigia au kumfataKipi kimekuchekesha?
Sawa mkuu mi in mpenzi mtazamajiNipo kaka..
Baadaye nakuja kutambulisha Rasmi
Hapana tutavurugana acha tuitane hivi hivi akiingia kabisa kwenye ndoa ndio tutaitana hivyoHapana hamwezi kuvurugana inatakiwa mtafute neno lingine kwa mfano bi mdogo mwingine aite bi mkubwa
Tipokile kakaNdaga Dada imajoro mpokile umhesha
Kweli kabisa bro ila tunahitaji uvumilivu na ubunifu unao weza kutusogeza hatua kidogoAahh.. hivyo hivyo, juzi, jana na leo tofauti ni majina tu ila hali ni ile ile...
Huku familia haijambo kabisa habari ya familia yakoMndali eehh.. za huko ndugu yangu, vipi familia yako!?