Eti wii shunie Mjomba obe anapiga tungi ee
Najua mwenyeweEbu niambie basi
Walahiii kesho nakubebea nyama chomaWiii hakuna wa zamani we ndio wa kwanza na mwisho achana nao hao vyote wivu
Kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo hata anavyo viandika yawezekana sio akili zake
Hahaa eti ee wacha ni [emoji86] [emoji86]Wiii hakuna wa zamani we ndio wa kwanza na mwisho achana nao hao vyote wivu
Sio kweli jamaa kwahiyo na g string pia ni za watotoKwa mujibu wa maduka ya nguo maeneo kariakoo , karume na tandika
PyeeeeeeNajua mwenyewe
[emoji134] [emoji134]Jamaan wewe binamu ebu mwache shem wangu mbona kivuruge wewe jaman na ole wako mgeni akimbie husna atachukuliwa na shem
Sitakiiii unanijazaWalahiii kesho nakubebea nyama choma
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]..labda yupo ugenini?
Ebhu niache na kesho zile namba nampa yule muuza vipodoz..lol! anko nilijua mimi tuko ndo tunaandaa list, co-authoring
Sema wifi jamaniOle wako mgeni akimbie
Kazi ipoSi unamteteaga akinivuruga ndio ujionee na ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee...yeah napiga sana tungi, yaani kuna siku nimeenda kupiga mishe pale Tungi (kama unaishi kigamboni utakuwa unapajua) nikamaliza nikaingia ndani kidogo Maziwa ndo nikaenda zangu Kishiwani. Tungi si mtaa mzuri kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndege anakaribia kupeperukaEbu mwambie kuhusu binamu obe jaman
[emoji484] [emoji484]Waaow asante[emoji39] [emoji39] nipatie chochote kile unachoona kitanifaa mgeni mimi
Asantee wifi yangu[emoji484] [emoji484]
Karibu sanaAsantee wifi yangu
Huyo ni chapombe akinywa anaoga kabisa