Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Wiii huyo ni kivurugeAnko hasemagi uongo, lakin ngoja nifanye udadisi kwanza
Wiii huyo ni kivurugeAnko hasemagi uongo, lakin ngoja nifanye udadisi kwanza
Anko hivi libonge ndo limekuchanganya au?...usiseme wa zamani yuko wapi, sema wa zamani wako wapi na anko wangu hajui kuacha, yeye kama kokoro anavua kila kitu
Anko hasemagi uongo, lakin ngoja nifanye udadisi kwanza
Yamekukutia wapi...vipi, shululu karudi mapema au kimeshachacha?
Tia ndimu kisichache, ipo ile ndimu ya kichina, ndimu ya unga

Na mm nampenda pia jamanNdo maana baba d anakupenda
Na wewe upo kwenye assessment
Obe anijibu aina ya ngao hyoNakuweka kwenye list
Ole wako mgeni akimbie...usiseme wa zamani yuko wapi, sema wa zamani wako wapi na anko wangu hajui kuacha, yeye kama kokoro anavua kila kitu
Ebu mwambie kuhusu binamu obe jamanKaribu sana leo ntakuhudumia mie unajckia kula na kunywa nn
...ha hahahahaha, wewe nawe unaakili sana. Hivi ulikuwa monita eeeh. Ngao ya maji au ya kidonge zote ziko sawa tu
sawa zote ngao
Ahahahhhhh huko hukoHusna nipelekee wapii shem
Anko najua hatalala fitina zimemjaaaWoooyooooooooooo usiku watalala kama kunipenda
Si unamteteaga akinivuruga ndio ujionee na wwNamtetea wapi shem ...ila najuta
Hata nikiwa dereva poa tu...huyu akae siti ya mbele kabisa kwenye listi, nilimuona siku nyingi sana
Waaow asanteKaribu sana leo ntakuhudumia mie unajckia kula na kunywa nn
nipatie chochote kile unachoona kitanifaa mgeni mimi
Yaan huyo obe kiufupi sio mzima kabisakwahiyo hata anavyo viandika yawezekana sio akili zake
Kwa mujibu wa maduka ya nguo maeneo kariakoo , karume na tandikaKheee wewe utafiti wa wapi huo ebu rudi kaanze upya
Shem langu la faidaKaribu sana leo ntakuhudumia mie unajckia kula na kunywa nn