Iko poaShemdarling iko njema lakini?
Msalimie ShemdarlingMarafiki niko njiani naelekea kwa Bi Mkubwa nikajumuike nae katika siku hii muhimu iliyo special kwa mama zetu.
Happy Mothers day.
Mimi mzima. Unaendelaje braza?Kaka, mzima lakini?
Ni kweli kabisa.Ni vyema na haki kumshukuru Mungu katika Kila jambo
Nitazifikisha shem wangu, usijali.Msalimie Shemdarling
Mie niko pouwaa kabisa shem, jumapili inaendaje?Mzima shemdarling?
Akupe na zawadi unileteeNitazifikisha shem wangu, usijali.
Upo bae?Happy Mothers Day!
Asante shem, jumapili inaendaje hapo?Jumapili ni njema shem
Karibu
Nani kama mama?Happy Mothers Day!
nipo mamaangu, mzima weweUpo bae?
Dah! hamna mwanangu, mama ndo dunia, dunia ndo mama..Nani kama mama?
Hizi ishu huwa napita kushoto kabisa.Yanga na Man utd wewe
...Hupendelei mpira kabisaHizi ishu huwa napita kushoto kabisa.
.........
Jumapili inaenda vizuriAsante shem, jumapili inaendaje hapo?