makapuku forum: uzi unaokua kwa kasi ya ajabu kuwahi kutokea jf. nautabiria kufikisha comments 50000 baada ya miezi 3 ijayo. ama kweli makapuku tuna nguvu kuliko wakongwe wa jf. heshima kwa waasisi wa hii kitu. Th NameBitoz nyangema toto la joto city a.k.a tembo mvaa mtepesho!
dah makapuku burudani tupu!