Hakika Mungu ni mkubwa.Jumapili inaenda vizuri
Tunafurahia ukuu WA Almighty God
Hakuna kama mamaNani kama mama?
Pamoja sana shemdarling.Iko poa
Nimeshapona kaka, shem wangu Liz mzima lakini?Mimi mzima. Unaendelaje braza?
Happy to all.Happy Mothers Day!
Hayupo wa kufanana na mama.Nani kama mama?
Hapo sasaKala ugali na mulenda![]()
Asante kwa kutuombea braza.![]()
Nilikuwa church ndo naelekea home......bado sijapitia story zenu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Hope ulituombea na sisi wote![]()
Nilikuwa church ndo naelekea home......bado sijapitia story zenu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Sijawahi na sitowahi kupenda maisha yangu yote.Hupendelei mpira kabisa
Ndo nipo ghsto nowAsante kwa kutuombea braza.
Habari ya asubuhi?
Ni njema sana kaka, habari ya R Chuga!niaje wakuu .. habari za jumapili?
Nilienda kuombea mema makapuku woteHope ulituombea na sisi wote
AmeenNilienda kuombea mema makapuku wote
Wakongwe nimewaombea dua mbaya
![]()
![]()
![]()
![]()
......................

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.Ndo nipo ghsto now
Jumapili swaaf kabisa
.................