makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,448
Warusi tena na pombe...
Warusi tena na pombe...
Kisa na mkasa cha kuichukia rangi ya kijani kiasi hicho!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawe pia chief..Wapendwa tuwe na siku njema
Hata kupiga miayo nacho ni kifungua kinywa mkuu..Asante sana BlessedHope kwa maneno ya baraka, asante anko Lyon Lee kwa UF na asante kwetu sote tulio hapa. Magazeti yatawajia muda si mrefu (itapendeza zaidi ukijua kwamba mimi huwa siweki magazeti, subirini shululu aagane kikubwa na Tumosa ndo atayaleta).
Tukumbuke tu kifungua kinywa unaweza amua hata kula kiporo, sio kila morning chai na chapati mbili.
...
Morng jiraniMorning KF family
Kwema chief.. nijuze hali yako na familia kiujumla..Chief kwema
Ubarikiwe sana sana ,kazi yako ni njema ..wiki njema ShululuView attachment 629890Asubuhi njema makapuku wote na mwanzo mwema wa wiki
Kweli lakiniHata kupiga miayo nacho ni kifungua kinywa mkuu..
Ohh sawa Makaveli10Mie leo sisemi asubuhi njema mpaka ifike saa 5:59[emoji23] [emoji23]
Mwaghona kaka[emoji120]Wakuu wazimaaa? Nawasalimia tu
Namshukuru aliye juuKwema chief.. nijuze hali yako na familia kiujumla..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mie leo sisemi asubuhi njema mpaka ifike saa 5:59[emoji23] [emoji23]
Indi mkafu dada utwa ukwo uli ingukumbukite sanaMwaghona kaka[emoji120]
Ubarikiwe sanaItoshe tuu kusema asubuhi njema jamani
Tubarikiwe sote my baby girl,Mungu akuangazie nuru ya uso wake na kukupa amani[emoji120]Nawatakia mwanzo mwema wa wiki,ikawe wiki ya baraka kwetu sote
Hakika mwanangu,Bless U ..Mungu akuongezee kila lenye heri[emoji7]Siku zinazidi kupungua ...mwaka huu ndo unavoisha nuhimu kujiuliza na kujitathmini.,,,
I see,strange[emoji144]