Makapuku Forum

*Wakati mimi na wewe Tunatamani muda Uchelewe sababu Mipango yetu ya Kidunia haijakaa sawa, wafu kaburini wanatamani Kiama ifike leo kwa kuchoka kukaa Kaburini. Ikiwa SISI tunatamani kufa kwa dhiki ya Maisha, wafu wanatamani warudi Duniani kumuabudu MWENYEZI MUNGU, kutokana kwa hali nzito iliyoko huko. Hiki ni kipindi cha KUMWABUDU MWENYEZI MUNGU ndugu yangu. kama umejaaliwa vocha mkumbushe na mwingine kuliko kifurushi kikaisha bure .*
 
Dah aisee shemela
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…